Kamaliza Form 4 Uganda, Ataruhusiwa kusoma hapa bongo?

Kamaliza Form 4 Uganda, Ataruhusiwa kusoma hapa bongo?

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,057
Reaction score
7,611
Ni mdogo wangu kamaliza fomu 4 Uganda sasa nauliza kwa wanaojua na wenye uzoefu katika hili mnisaidie, huyu dogo ataweza kukubaliwa aunge fomu 5 hapa Tanzania baada ya kuhitimu fomu 4 huko Uganda?

Nitashukuru sana kwa watakaojaribu kunipa mwanga katika hili.
 
Anasoma bila shida, ila itabidi aanzie baraza la mithihani kufanyiwa ulinganifu matokeo yake hayo ya Uganda.
 
Anasoma bila shida, ila itabidi aanzie baraza la mithihani kufanyiwa ulinganifu matokeo yake hayo ya Uganda.

Saw a mkuu hapa ka mwanga kamekuja kidogo,kwahiyo nachotakiwa kufanya ni kupeleka matokeo yake necta kwanza so ndiyo?
 
Back
Top Bottom