PostGE2025 Kamanda Banga: Madereva bajaj msikubali kushiriki vurugu Disemba 9, nendeni mkafanye kazi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Kamanda habari ikufike 9Dec ni maandamano ya amani hata wewe unakaribishwa sana na si vurugu kama ulivyotooha wewe!
===============
Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe ACP. Mahamoud Hassan Banga amewataka Madereva Bajaji mkoani Njombe kuwakataa baadhi ya Watu wanaohamasisha kushiriki katika vurugu.

ACP. Banga amesema mkoa wa Njombe ni eneo la Watu wanaojituma katika kufanya kazi hivyo ni muhimu kutoa taarifa pale wanapobaini kuna mtu anahamasisha kufanya vurugu.

Ameyasema Hayo Alipo shiriki kwenye kikao Cha Maderwva bajaji kilichofanyika tarehe 18/11/2025 Kilichokuwa na lengo la kuweka sawa Suala La Nauli za bajaji.

Kwani kuna fujo?
Kwani wao wajinga wapeleke vyombo barabarani
 
Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe ACP. Mahamoud Hassan Banga amewataka Madereva Bajaji mkoani Njombe kuwakataa baadhi ya Watu wanaohamasisha kushiriki katika vurugu.

ACP. Banga amesema mkoa wa Njombe ni eneo la Watu wanaojituma katika kufanya kazi hivyo ni muhimu kutoa taarifa pale wanapobaini kuna mtu anahamasisha kufanya vurugu.

Ameyasema Hayo Alipo shiriki kwenye kikao Cha Maderwva bajaji kilichofanyika tarehe 18/11/2025 Kilichokuwa na lengo la kuweka sawa Suala La Nauli za bajaji.
Why only bodaboda
 
D9 ni maandamano ya amani hata yeye anakaribishwa kushiriki
 
Hajitambui huyu fala, na kazi yake ni kuhakikisha usalama sio kutoa vitisho, maandamano ni haki
 
Back
Top Bottom