GE2025 Kamanda Chily awatoa hofu wananchi kuelekea uchaguzi mkuu 2025

GE2025 Kamanda Chily awatoa hofu wananchi kuelekea uchaguzi mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Kamisha Msaidizi Mwandanizi wa Polisi (SACP) Marco G. Chilya amewatoa hofu wananchi wa Mkoa Ruvuma kuwa limejipanga vizuri kuimarisha hali ya Ulinzi na Usalama wakati wa Uchaguzi na baada ya Uchaguzi.

Wito huo ameutoa Oktoba 26,2025 ikiwa ni muendelezo wa kuwatoa hofu na kuwasisitiza wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 kutimiza haki yao ya kikatiba kwa kuwachagua Viongozi wao waliowakusudia.
 
Back
Top Bottom