Kamanda Mambosasa: Upelelezi wa kesi ya wafuasi 27 wa CHADEMA wakiwemo viongozi wanaodaiwa kufanya fujo gereza la Segerea umekamilika

Elice Elly,
Ni uwongo wa kitoto. Mtu unaweza kucheka, lakini watu wameumizwa hadi kuvunjwa viungo, nothing funny. Nchi imejaa ushetani.
 
Jomba unajuaje Kama matukio haya yanafanana..ulikuwepo kule magereza..msidhani wananchi hatuna akili jomba. Askari wale walijitahidi Sana kuwasihi watoke eneo like lakini wao wakawa wanalazimisha kuingia kwenda kumuokoa Mwenyekiti wao ..ujinga Sana huu
 
Hivyo ndivo utawala wa sheria unavotekelezwa.
Kungekuwa hakuna utawala wa sheria hata jela zisingekuwepo
 
Na wananchi ndio sisi hawa tunaona jinsi wanasiasa wanavyo tuvuruga hasa wa upinzani,wanafanya fujo hovyo na kushawishi tuwekewe vikwazo ili tufe njaa,kwa hali hii unadhani tutawachagua kweli mkuu?

macson
 
Consigliere,
Funzo hapo ni kuwa wanapocopy na kupaste anachofanya Chakubanga wawe makini.
Vingine havicopiki
 
Taratibu za malipo zilishafanywa figisu zilikuwa alale atolewe jtatu,mngemtoa mapema yasingetokea mnalazimisha vurugu ili mpate Pesa Mbona?
Safari hii hakuna faini ni kifungo tu,wasifanye fujo/makosa kwa kutegemea mteremko,kwanza wananchi nao wanawachoka,anajitoa buku 2 yake badala ya kununa mboga home anamchangia muhuni anaenda kufanya fujo ili arudi jela,inaumiza sana.

macson
 
Lazima ilikua katika purukushani,vita haina macho mkuu kila mtu anajihami kwa namna yoyote anayoweza.

macson
 
Na wananchi ndio sisi hawa tunaona jinsi wanasiasa wanavyo tuvuruga hasa wa upinzani,wanafanya fujo hovyo na kushawishi tuwekewe vikwazo ili tufe njaa,kwa hali hii unadhani tutawachagua kweli mkuu?

macson

Weka tume huru ya uchaguzi kisha uje uchukue mrejesho. Wananchi wameshaamka boss
 
Utamu wa kule kunani na kazi wapi na wapi?
 
Safari hii hakuna faini ni kifungo tu,wasifanye fujo/makosa kwa kutegemea mteremko,kwanza wananchi nao wanawachoka,anajitoa buku 2 yake badala ya kununa mboga home anamchangia muhuni anaenda kufanya fujo ili arudi jela,inaumiza sana.

macson
Mbona wengine wameshushwa magarini huo uhuni wamefanyia wapi sasa,sio waliovunja wanawake ni wahuni nijuavo askari ni amani
 
Usinifanye Sina akili Kama wewe, na Wala Mimi Sina ujomba na wapumbavu. Ni Mpumbavu tu anayeweza kufikiri na kuunda ujinga unaounda wewe. Inaonekana wewe na Mambosasa lenu moja. Kufikiri kuwa Watanzania wote Ni wajinga!!!
Hivi Watu waliokuwa na furaha ya kumpokea Mwenyekiti wao aliyekuwa kwenye hatua za mwisho za kutoka gerezani wanawezaje kulazimisha kumwokoa!!? Acheni ujinga na wala msifikiri sote tu wjinga kama ninyi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…