Elice Elly
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 1,267
- 1,593
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiingii akilini suala la magereza unamhusisha Bashiru kivipi hasa.
Ni kukosa akili tu ya kuwaza. Unajua ni kosa gani wamefanya au unahisia zako tu
Hivi Kwa akili yako wale wanawake wanaweza Kweli ingia Na kumtoa mbowe pasipo taratibu?Haiingii akilini suala la magereza unamhusisha Bashiru kivipi hasa.

. Na Kama ni hisia zako kwanini unawaza upande mmoja tu..kwanini usiwaze kwamba watakuwa wametenda kosa la jinai
Halafu Mr President anasema polisi wana bambikiza kesi as if hajui.. Je jili la Mambosasa kaliona?Kwamba wafuasi wa Chadema walitumia nguvu kutaka kuingia gerezani kwenda kumtoa Mwenyekiti wao Mh.Mbowe?
Mbowe alikaa gerezani Siku kadhaa,kwanini hizo nguvu hawakutumia ndani ya Siku hizo wakasubiri taratibu zote za kumtoa zifanyike ndo waende kulazimisha kumtoa kwa nguvu?
Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza lakini ninachokiona ni askari wetu (Dola)kukubali kutumiwa na akina Bashiru kitu ambacho hakitaleta Afya njema ya Taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hawana tofauti na Corona VirusesWanaotumika na wanaowatumia wote ni wapumbavu
Tisiache kuwafungua masikio ambao bado yameziba hawa wanakimbilia huruma ya wananchi na haitowasaidia wengi wamestukaMkuu Cherenganya hawa jamaa wanafanya makusudi ili kupata huruma ya wananchi ila mbinu wanazotumia za hovyo raia tumestuka. Harafu mkuu hilo jina nahisi wewe ni wa kwetu Nyanda za juu kusini,maana kuna kijiji kinaitwa hivyo.
macson
Kwanza hajitambui pili u IGP hautafutwi hivyo. Watu wenye tamaa ya uongozi huogopwa sana na watawala kwani huamini iko siku watakitamani kiti cha mteule pia.Huyu naye hana lolote,ukianza sakata la Mo Dewji,ukaja la Akwilina unajua hili jamaa ni chenga kweli!
Mbona unalewa upumbavu kiasi hicho, unakumbuka maneno ya Bashiru kweli, si vyema mtu timamu kujifanya mpumbavuHaiingii akilini suala la magereza unamhusisha Bashiru kivipi hasa.
Ni kukosa akili tu ya kuwaza. Unajua ni kosa gani wamefanya au unahisia zako tu
Haiingii akilini suala la magereza unamhusisha Bashiru kivipi hasa.
Ni kukosa akili tu ya kuwaza. Unajua ni kosa gani wamefanya au unahisia zako tu
😆😆😆Kwamba wafuasi wa Chadema walitumia nguvu kutaka kuingia gerezani kwenda kumtoa Mwenyekiti wao Mh.Mbowe?
Mbowe alikaa gerezani Siku kadhaa,kwanini hizo nguvu hawakutumia ndani ya Siku hizo wakasubiri taratibu zote za kumtoa zifanyike ndo waende kulazimisha kumtoa kwa nguvu?
Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza lakini ninachokiona ni askari wetu (Dola)kukubali kutumiwa na akina Bashiru kitu ambacho hakitaleta Afya njema ya Taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dola inatumika vibayaKwamba wafuasi wa Chadema walitumia nguvu kutaka kuingia gerezani kwenda kumtoa Mwenyekiti wao Mh.Mbowe?
Mbowe alikaa gerezani Siku kadhaa,kwanini hizo nguvu hawakutumia ndani ya Siku hizo wakasubiri taratibu zote za kumtoa zifanyike ndo waende kulazimisha kumtoa kwa nguvu?
Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza lakini ninachokiona ni askari wetu (Dola)kukubali kutumiwa na akina Bashiru kitu ambacho hakitaleta Afya njema ya Taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli. Yaani mimi nikiziangaliaga zile lips akiwa anatabasamu,so sweet.Ila wakuu ,Halima Mdee ni Chombo kikali sana..View attachment 1389154