Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Asante sana kamanda kwa ufafanuzi, wakitoka hopstal wafungwe kabisa
Huyo Mambosasa ni mmoja wa viongozi wa dola anaotambia katibu Mkuu wa ccm. Hao wanacdm watafungwa sio kwakuwa wana makosa, ila ni kwakiwa serikali ndio yenye maamuzi kuwa mahakama itoe vipi hukumu. Uzuri ni kuwa kwa sasa wananchi wanajua fika polisi sio kitengo cha kutenda haki tena, bali ni taasisi ya ccm.