Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Amani inazidi kupigiwa debe kila kukicha. Na jeshi la polisi wakiwa msatari wa mbele sana kipindi hichi.
Uchaguzi ukiisha hapa hizi bwebwe zote kwisha
==================
Mkaguzi Msaidizi wa Kata Bulongwa wilayani Makete Mkoa wa Njombe Marwa Kisyeri Oktoba 24,2025 ametoa elimu kwa vijana wanaocheza mpira katika uwanja wa Luvanyina Kijiji cha Bulongwa Wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe na kuwataka kudumisha amani iliyopo na wasidanganyike kuvuruga amani.
Pia amewataka kutojihusisha na maandamano yasiyo na tija katika jamii bali wajitokeze kupiga kura kwani ni haki yao ya msingi kikatiba Sambamba na hilo, amewaasa kutoa taarifa za wahalifu na uhalifu ili hatua stahiki zichukuliwe mapema.