Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, amesisitiza kuwa kifo cha mfanyabiashara Daisle Ulomi aliyetoweka katika mazingira yenye utata Desemba 11, 2024 akiwa kazini kwake Sinza Kijiweni, kimesababishwa na ajali na si vinginevyo.
“Ukiniambia simu ilisoma wao ni watu wa TCRA (Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania), hao ndugu unaodai simu ilisoma Chang’ombe ni watu wa TCRA? Sisi ndiyo tunasema ajali ilitokea hapo Ubungo External Makuburi. Kuna kundi la watu wenye tabia ya uzushi lenye nia ya kuzusha kwa malengo ya kuzua taharuki.
Tukio limetokea mchana kweupe wasamaria wema wamejitolea wenye ubinadamu, wenye utu, licha ya kwamba ilikuwa ni ajali mbaya,” amesema SACP Muliro.
Kamanda Muliro amezungumza hayo leo Jumanne Desemba 17, 2024 wakati akizungumza na waandishi wa habari na kusema kuwa watu wasitumie hisia na kwamba hakuna ubishi Ulomi amekufa kwa ajali.

Raia wema washasema aliyepata ajali ni mtu mwingine kabisa. Alafu juilize mtu kapotea tarehe 11 ukapelekwa kituo Cha afya akakaa siku 5 alafu aonekane mwili mwananyamala.. kwanini wasiwe kimya Kama masauni tu. Kutetea Hawa watekaji ngumu sana zaidi ya kujiahibisha tu