Safi sana.Jeshi la polisi litekeleze wajibu wake.Nimejiandaa kwenda kupiga kura .Kura yangu haitoenda kwa CCM itaenda kwa upinzaniWakuu,
Akizungumza kwenye Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 Kamanda Muliro amesema kwamba watahakikisha Uchaguzi utafanyika kwa amani na vifaa vya Uchaguzi vitalindwa
ameua watu wengi sana huyu! Muuaji number One kipindi hiki and his fellow mafeWakuu,