GE2025 Kamanda Muliro kuelekea Oktoba 29, tumejipanga kwa kila tishio la kiusalama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Jeshi la Polisi nchini limesema litaendelea kufuatilia kwa kina, kuzuia, kubaini na kutanzua matishio ya Usalama siku ya Oktoba 29, huku likitoa rai kwa Wananchi kujitokeza kushiriki ili kutimiza haki na wajibu wao wa Kikatiba bila ya kuwa na hofu yoyote.

Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 15, 2025 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Muliro.
 
IMG-20251014-WA0038.jpg
 
MULIRO kwa sasa ndiye IGP wa jeshi la Police. Wambura yupo yupo tu ....!!
 
huku likitoa rai kwa Wananchi kujitokeza kushiriki ili kutimiza haki na wajibu wao wa Kikatiba bila ya kuwa na hofu yoyote.
Kutimiza haki na wajibu wakati mpinzani wa chama kikuu yupo mahabusu, kiazi kweli huyu
 
Jeshi la Polisi nchini limesema litaendelea kufuatilia kwa kina, kuzuia, kubaini na kutanzua matishio ya Usalama siku ya Oktoba 29, huku likitoa rai kwa Wananchi kujitokeza kushiriki ili kutimiza haki na wajibu wao wa Kikatiba bila ya kuwa na hofu yoyote.

Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 15, 2025 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Muliro.
Wee unaambiwa washaanza kuwasili hadi wa mimoani kuja huku wakati hayo maandamano hata huko mkoani yapo
 
Anafikiri huko Madagascar ambako rais ameikimbia nchi polisi walikuwa hawakujipanga? Umma ukishaamua hata mjipange vipi ni kazi bure. Na mwanadamu ukimbana sana mpaka akafikia mwisho na kusema liwalo na liwe kiasi cha kutoogopa kifo basi hata ungeleta majeshi yote duniani ni kazi bure!

Mungu Aibariki nchi yetu na daima tukumbuke kwamba haki huinua taifa. Vinginevyo vitisho hivi na mikwara hii ni kama bandeji tu kwenye donda la kansa inayosambaa mwili mzima kwa kasi!
 
Muacheni Muliro aendelee kutoa milio tu, siku ikifika tutaona hali itakuwaje.
 
Mtego asali kivip
Kwa Sasa una maoni gani juu ya uzi huu hapa chini?
==
 
Jeshi la Polisi nchini limesema litaendelea kufuatilia kwa kina, kuzuia, kubaini na kutanzua matishio ya Usalama siku ya Oktoba 29, huku likitoa rai kwa Wananchi kujitokeza kushiriki ili kutimiza haki na wajibu wao wa Kikatiba bila ya kuwa na hofu yoyote.

Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 15, 2025 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Muliro.
Bila shaka kitisho cha utekaji pia mmejipanga vyema
 
Amani ya Nchi kwanza
 
Attachments

  • 583319c0e3ca4061b4808b69a059c87e.jpg
    583319c0e3ca4061b4808b69a059c87e.jpg
    108.5 KB · Views: 34
Kwa Sasa una maoni gani juu ya uzi huu hapa chini?
==
Heshima sana mkuu 'TUJITEGEMEE'

Mhusika nilisha mkumbusha haya na kumshukuru kwa jitihada za mabadiliko yaliyo mfikia.

Bila shaka hata wewe; kama hukushikiliwa na nguvu za kipekee utakuwa na moyo wa kumsamehe kwa hayo yaliyopita.
Kwa upande wako sijaona mabadiliko ya kutia moyo sana,, kama ninavyo yaona kwa huyo 'Lord'

Kwa maana hiyo, naungana naye zaidi katika mapambano haya makubwa yanayo tukabili sasa hivi.
 
Back
Top Bottom