Jeshi la Polisi nchini limesema litaendelea kufuatilia kwa kina, kuzuia, kubaini na kutanzua matishio ya Usalama siku ya Oktoba 29, huku likitoa rai kwa Wananchi kujitokeza kushiriki ili kutimiza haki na wajibu wao wa Kikatiba bila ya kuwa na hofu yoyote.
Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 15, 2025 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Muliro.
Kutimiza haki na wajibu wakati mpinzani wa chama kikuu yupo mahabusu, kiazi kweli huyuhuku likitoa rai kwa Wananchi kujitokeza kushiriki ili kutimiza haki na wajibu wao wa Kikatiba bila ya kuwa na hofu yoyote.
Wee unaambiwa washaanza kuwasili hadi wa mimoani kuja huku wakati hayo maandamano hata huko mkoani yapoJeshi la Polisi nchini limesema litaendelea kufuatilia kwa kina, kuzuia, kubaini na kutanzua matishio ya Usalama siku ya Oktoba 29, huku likitoa rai kwa Wananchi kujitokeza kushiriki ili kutimiza haki na wajibu wao wa Kikatiba bila ya kuwa na hofu yoyote.
Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 15, 2025 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Muliro.
Kwa Sasa una maoni gani juu ya uzi huu hapa chini?Mtego asali kivip
Mkataba una u hovyo gani? Mnaonesha jinsi gani mnavyotaka nchi hii iendelee kuwa nyuma ili mjinufaishe hapo Bandarini. Mmeula vya chuya. Serikali imeshafanya maamuzi na hakuna kurudi nyumaSisi shida yetu ni mkataba mbovu! Ni bora tuendelee kupata huduma mbovu kuliko kusaini mkataba wa hovyo.
Hata ungekua ni wewe mkuu una bilioni kadhaa bank ungehangaika na haya? 😃MULIRO kwa sasa ndiye IGP wa jeshi la Police. Wambura yupo yupo tu ....!!
Wakati matokeo ya uchaguzi hayahusiani na kura zinazopigwa. Angewaonya wezi wa kurakushiriki ili kutimiza haki na wajibu wao wa Kikatiba
Bila shaka kitisho cha utekaji pia mmejipanga vyemaJeshi la Polisi nchini limesema litaendelea kufuatilia kwa kina, kuzuia, kubaini na kutanzua matishio ya Usalama siku ya Oktoba 29, huku likitoa rai kwa Wananchi kujitokeza kushiriki ili kutimiza haki na wajibu wao wa Kikatiba bila ya kuwa na hofu yoyote.
Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 15, 2025 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Muliro.
Umeona eeehMULIRO kwa sasa ndiye IGP wa jeshi la Police. Wambura yupo yupo tu ....!!
Heshima sana mkuu 'TUJITEGEMEE'Kwa Sasa una maoni gani juu ya uzi huu hapa chini?
==