Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Kamanda Muliro basi kwa elimu hiyo itumie kuwakamata hao watekaji wanaendelea kututesa waTanzania
==================
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kutokana na mafunzo wanayopitia polisi, ni rahisi kwao kumtambua mhalifu kabla au baada ya kufanya uhalifu.
Muliro ameyasema hayo wakati akijibu maswali aliyoulizwa na wadau mbalimbali, kwenye mkutano uliowakutanisha watu kutoka kwenye makundi maalum jijini Dar es Salaam, wakiwemo bodaboda, baba na mama lishe, wamachinga na wajasiriamali wengine leo Oktoba 17, 2025.