Kamanda Muliro tafadhali waambie askari wako wawe wakali kesho

Kamanda Muliro tafadhali waambie askari wako wawe wakali kesho

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,322
Reaction score
8,412
Leo katika timu zinazopambana kesho kati ya Simba na hao waarabu wanajiitaje sijui Sasa wakati wanakuja wakakataa kupita mlango official ambao kila mtu anatakiwa kupita

Wao wakaenda kupita mlango mwingine, wakakutana na askari, ila askari wamewazuia ila nashangaa Bado wakapita hapo mlango usio rasmi...Sasa askari wetu wa Tanzania mnajua hii ni kama vita mnaowaonea huruma huruma mkisema mtu asipite hapa na kweli anatakiwa asipite mtu na mnaweka uso wa mbuzi.

Embu kuweni WAKALI aisee...Kamanda waambie vijana wako wawe WAKALI.
 
Timu ipi iliyopita mlango usioruhusiwa leo?
Walikuwa wanaenda kufanya nini?
Umeandika vitu visivyoeleweka
Kama wenye akili ni wawili tu yanga nzima nyinyi wengine mtaelewa nini ?
 
Bora ya wawili kuliko ambako hakuna hata mmoja wote wameitwa ni mambumbumbu.
Kwaio mnakubali kua nyinyi ni mazuzu. Na wenye akili ni Mheshimiwa jakaya na Mzee Sunday manara
 
Kwaio mnakubali kua nyinyi ni mazuzu. Na wenye akili ni Mheshimiwa jakaya na Mzee Sunday manara
Sijakuelewa mbumbumbu umesemaje?
Kwenye majina ya wa watu unatakiwa uanze kwa herufi kubwa mfano Ismail Aden Rage
 
Alafu jina ka Mbumbumbu lilitokewa katika mkutano mkuu wa nwaka, yaani alitoa laana ya vizazi na vizazi vidumu katika u mbumbu.
Matokeo ya u mbumbumbu ndio ivi vituko tunavyo viona sasa
 
Back
Top Bottom