Leo katika timu zinazopambana kesho kati ya Simba na hao waarabu wanajiitaje sijui Sasa wakati wanakuja wakakataa kupita mlango official ambao kila mtu anatakiwa kupita
Wao wakaenda kupita mlango mwingine, wakakutana na askari, ila askari wamewazuia ila nashangaa Bado wakapita hapo mlango usio rasmi...Sasa askari wetu wa Tanzania mnajua hii ni kama vita mnaowaonea huruma huruma mkisema mtu asipite hapa na kweli anatakiwa asipite mtu na mnaweka uso wa mbuzi.
Embu kuweni WAKALI aisee...Kamanda waambie vijana wako wawe WAKALI.