Kama mnavyojua leo ndo ile siku ya Uchaguzi wa Nafasi ya Uenyekiti ndani ya CHADEMA na saa chache kabla ya Uchaguzi huo kuanza Jeshi La Polisi limetoa msimamo wake
Akizungumza na Samuel Sasali, Kamanda Muliro amesema kuwa wamejipanga kutoa ulinzi katika eneo la Mlimani CIity na kwamba watu waache kushangaa uwepo wa Jeshi hilo eneo la Mlimani City kwani ni kawaida kwa Jeshi La Polisi kuwepo hapo.
Kamanda Muliro amesema kuwa Jeshi La Polisi halijakataza watu ambao wana shughuli zao za kawaida hapo Mlimani City kuendelea na shughuli zao
Hawa watu siku zote ni watu wanao penda vurugu, hivyo leo 21/1/2025 hapo mlimqni city kuwe na ulinzi imara ili kudhibiti vurugu zinazo weza kutokea.
Kumbukeni hapo kuna magenge ya kihuni/wahalifu n.k.
Amani itawale.
Bila Mbowe hakuna Chadema Imara.