Pre GE2025 Kamanda Muliro: Tumejipanga kuimarisha ulinzi Uchaguzi wa CHADEMA. Sisi sio wageni hapa Mlimani City, wanaoshangaa ndio wageni

Pre GE2025 Kamanda Muliro: Tumejipanga kuimarisha ulinzi Uchaguzi wa CHADEMA. Sisi sio wageni hapa Mlimani City, wanaoshangaa ndio wageni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kama mnavyojua leo ndo ile siku ya Uchaguzi wa Nafasi ya Uenyekiti ndani ya CHADEMA na saa chache kabla ya Uchaguzi huo kuanza Jeshi La Polisi limetoa msimamo wake

Akizungumza na Samuel Sasali, Kamanda Muliro amesema kuwa wamejipanga kutoa ulinzi katika eneo la Mlimani CIity na kwamba watu waache kushangaa uwepo wa Jeshi hilo eneo la Mlimani City kwani ni kawaida kwa Jeshi La Polisi kuwepo hapo.

Kamanda Muliro amesema kuwa Jeshi La Polisi halijakataza watu ambao wana shughuli zao za kawaida hapo Mlimani City kuendelea na shughuli zao

 
Hawa watu siku zote ni watu wanao penda vurugu, hivyo leo 21/1/2025 hapo mlimqni city kuwe na ulinzi imara ili kudhibiti vurugu zinazo weza kutokea.
Kumbukeni hapo kuna magenge ya kihuni/wahalifu n.k.
Amani itawale.
Bila Mbowe hakuna Chadema Imara.
 
Muliro kasema watakuwepo kulinda usalama wa raia kama kawaida yao na ni kazi yao
 
Back
Top Bottom