GE2025 Kamanda Muliro: Ukimchukia Polisi, Inawezekana Una Vimelea vya Uhalifu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
"Watu wengi wanatupigia simu Makongo Juu, Kitunda, Mwanagati, Kivule, Buza kule wanasema mbona nyie doria hamji huku? Tunakwenda. Watu wanatutaka twende. Kwahiyo ukiona mtu anachukia Polisi hajawa mwalifu ujue ana vimelea vya kiuhalifu." - Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam

1761309056324.png
 
Okay SAWA .
Amani Haki upendo vitawale kwenye jamii yetu wa Tanzania
 
Write your reply...yupo sahihi japo kuna baadhi ya polisi ******* wanachafua taswira ya polisi weledi.
 
"Watu wengi wanatupigia simu Makongo Juu, Kitunda, Mwanagati, Kivule, Buza kule wanasema mbona nyie doria hamji huku? Tunakwenda. Watu wanatutaka twende. Kwahiyo ukiona mtu anachukia Polisi hajawa mwalifu ujue ana vimelea vya kiuhalifu." - Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam

Kuna uhalifu unaozidi wa kuteka watu, kuwalawiti, kuwaua, kuwatesa na kuwadhulumu watu utu wao ambavyo vyote hivyo vinafanywa na polisi kwa maagizo yanayotoka kwa viongozi wa CCM na viongozi wa serikali.
 
Kwa nini huyu kamanda amejigeuza nabii anayeweza kuona mambo yajayo?!
Kuna wakati alisema police wanaweza kujua mtu anayekusudia kwenda kutenda uhalifu wakamkata kabla hajatenda!
 
"Watu wengi wanatupigia simu Makongo Juu, Kitunda, Mwanagati, Kivule, Buza kule wanasema mbona nyie doria hamji huku? Tunakwenda. Watu wanatutaka twende. Kwahiyo ukiona mtu anachukia Polisi hajawa mwalifu ujue ana vimelea vya kiuhalifu." - Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam

Afande Huwa anapiga masanga? maana yupo very serious namwona
 
Mimi ninawachukia kwa sababu;
1. Ni wapenda rushwa wakuu nchini
2. Ni tawi la ccm
3. Ni watekaji
4. Ni wauaji wa raia wema
5. Wanapenda matumizi makubwa ya nguvu, kuliko akili
6. Hawaaminiki
7.
8.
9.
10.

Je, na mimi nina vimelea vya uhalifu? Au Afande huwa anapuliza msuba kabla ya kutoa matamko yake!
 
"Watu wengi wanatupigia simu Makongo Juu, Kitunda, Mwanagati, Kivule, Buza kule wanasema mbona nyie doria hamji huku? Tunakwenda. Watu wanatutaka twende. Kwahiyo ukiona mtu anachukia Polisi hajawa mwalifu ujue ana vimelea vya kiuhalifu." - Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam

Huko alikotaja kote wanaishi wakurya waende waone mziki wake😁😁😁
 
Polisi ndio wahalifu wenyewe kwahio hivyo vimelea wanasambaza wao
 
Back
Top Bottom