Kuna uhalifu unaozidi wa kuteka watu, kuwalawiti, kuwaua, kuwatesa na kuwadhulumu watu utu wao ambavyo vyote hivyo vinafanywa na polisi kwa maagizo yanayotoka kwa viongozi wa CCM na viongozi wa serikali."Watu wengi wanatupigia simu Makongo Juu, Kitunda, Mwanagati, Kivule, Buza kule wanasema mbona nyie doria hamji huku? Tunakwenda. Watu wanatutaka twende. Kwahiyo ukiona mtu anachukia Polisi hajawa mwalifu ujue ana vimelea vya kiuhalifu." - Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam
Afande Huwa anapiga masanga? maana yupo very serious namwona"Watu wengi wanatupigia simu Makongo Juu, Kitunda, Mwanagati, Kivule, Buza kule wanasema mbona nyie doria hamji huku? Tunakwenda. Watu wanatutaka twende. Kwahiyo ukiona mtu anachukia Polisi hajawa mwalifu ujue ana vimelea vya kiuhalifu." - Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam
Huko alikotaja kote wanaishi wakurya waende waone mziki wake😁😁😁"Watu wengi wanatupigia simu Makongo Juu, Kitunda, Mwanagati, Kivule, Buza kule wanasema mbona nyie doria hamji huku? Tunakwenda. Watu wanatutaka twende. Kwahiyo ukiona mtu anachukia Polisi hajawa mwalifu ujue ana vimelea vya kiuhalifu." - Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam