Pre GE2025 Kamanda Muliro: Wao wanajiita CHADEMA, sisi tunajua ni Watanzania. Tutamshughulikia yeyote wasijitoe ufahamu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro amesema jeshe la polisi lipo imara kwa ajili ya kusimamia uchaguzi mkuu wa chadema, kuhakikisha unafahamika kwa amani na utulivu.

Hata hivyo Kamanda Muliro ameongeza kuwa hawatasita, kumshughulikia mtu yeyote atakayeleta vurugu, hivyo wasijitoe ufahamu.

Duh aiseee vitisho

Yuko sawa kwani Chadema siyo watanzania
 
Wakuu,

Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro amesema jeshe la polisi lipo imara kwa ajili ya kusimamia uchaguzi mkuu wa chadema, kuhakikisha unafahamika kwa amani na utulivu.

Hata hivyo Kamanda Muliro ameongeza kuwa hawatasita, kumshughulikia mtu yeyote atakayeleta vurugu, hivyo wasijitoe ufahamu.

Mbona anaongea kishari sana huyu mlugaluga
 
Huyu kamanda ni kamanda kweli kweli. Anajua sana kudeal na nyumbu wajinga wajinga.
 
Kabisa wahuni wanaotaka kuleta fujo washughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
 
Gg9KbgHW0AAqPC2.jpeg

PATACHIMBIKA leo!!!
 
Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro amesema jeshe la polisi lipo imara kwa ajili ya kusimamia uchaguzi mkuu wa chadema, kuhakikisha unafahamika kwa amani na utulivu.

Hata hivyo Kamanda Muliro ameongeza kuwa hawatasita, kumshughulikia mtu yeyote atakayeleta vurugu, hivyo wasijitoe ufahamu.
Nani amewaalika hao polisi?
Nani amewalipa hao polisi posho?
 
Polisi tulieni, mpaka sasa hali ni shwari, wagombea wameshusha temper za wafuasi wao wakubali matokeo yatakayotoka, kwa hiyo hakutakuwa na fujo na vurugu. Muliro tuliza vijana wako uchaguzi unafanyika kwa utulivu na amani
 
Wakuu,

Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro amesema jeshe la polisi lipo imara kwa ajili ya kusimamia uchaguzi mkuu wa chadema, kuhakikisha unafahamika kwa amani na utulivu.

Hata hivyo Kamanda Muliro ameongeza kuwa hawatasita, kumshughulikia mtu yeyote atakayeleta vurugu, hivyo wasijitoe ufahamu.

Huenda hawakuomba kibali polisi cha kufanya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom