Pre GE2025 Kamanda Muliro: Wao wanajiita CHADEMA, sisi tunajua ni Watanzania. Tutamshughulikia yeyote wasijitoe ufahamu

Pre GE2025 Kamanda Muliro: Wao wanajiita CHADEMA, sisi tunajua ni Watanzania. Tutamshughulikia yeyote wasijitoe ufahamu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,

Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro amesema jeshe la polisi lipo imara kwa ajili ya kusimamia uchaguzi mkuu wa chadema, kuhakikisha unafahamika kwa amani na utulivu.

Hata hivyo Kamanda Muliro ameongeza kuwa hawatasita, kumshughulikia mtu yeyote atakayeleta vurugu, hivyo wasijitoe ufahamu.

Vurugu itoke wapi??
Hawa nao ..nonsense
 
Hotuba za wagombea zimeshusha munkari kwa wafuasi wao na inaonekana wamerudi kuwa kitu kimoja, CHADEMA ni moja, hali ni shwari, wafuasi wametonywa wakubaliane na matokeo yatakayotoka hata kama Lissu atashindwa katoa hotuba wafuasi wakubaliane na matokeo hali kadhalika Mbowe naye katoa hotuba wafuasi wakubaliane na matoke. Polisi tulieni endeleeni tu kulinda usalama hapo ila hakutakuwa na vurugu kwa mujibu wa hotuba za wagombea hao
 
Wakuu,

Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro amesema jeshe la polisi lipo imara kwa ajili ya kusimamia uchaguzi mkuu wa chadema, kuhakikisha unafahamika kwa amani na utulivu.

Hata hivyo Kamanda Muliro ameongeza kuwa hawatasita, kumshughulikia mtu yeyote atakayeleta vurugu, hivyo wasijitoe ufahamu.

Mjinga huyu,je uchaguzi wa CCM walitoa matamko kama haya,shida ushamba mwingi.
 
Team Lisu waondoke hapo nje wanafanya fujo na kelele zisizo za lazima.
 
Kwa nini anatumia nguvu nyingi sana huyu jamaa?.
Shida ya polisi ni elimu hafifu ya darasani.
 
Back
Top Bottom