Vurugu itoke wapi??Wakuu,
Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro amesema jeshe la polisi lipo imara kwa ajili ya kusimamia uchaguzi mkuu wa chadema, kuhakikisha unafahamika kwa amani na utulivu.
Hata hivyo Kamanda Muliro ameongeza kuwa hawatasita, kumshughulikia mtu yeyote atakayeleta vurugu, hivyo wasijitoe ufahamu.
Hawanaga akili Hawa jamaa.wanafikiri kila kitu ni kutumia nguvu tuuMbona anaongea kishari sana huyu mlugaluga
Mjinga huyu,je uchaguzi wa CCM walitoa matamko kama haya,shida ushamba mwingi.Wakuu,
Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro amesema jeshe la polisi lipo imara kwa ajili ya kusimamia uchaguzi mkuu wa chadema, kuhakikisha unafahamika kwa amani na utulivu.
Hata hivyo Kamanda Muliro ameongeza kuwa hawatasita, kumshughulikia mtu yeyote atakayeleta vurugu, hivyo wasijitoe ufahamu.
Kabisa wahuni wanaotaka kuleta fujo washughulikiwe kwa mujibu wa sheria
Kingkong umeanza lini ujinga, yani kama stunex naye kawa mjinga kama wewe