Kamanda Muliro, wewe na watu wote wanajua Polisi wawili uliowasimamisha kazi unawaonea, walichofanya ni utaratibu wa siku nyingi wa traffic polisi!

kwani kwa akili zako unadhani wamewekwa ndani au hizo drama anazosema wanabadilishwaga tu mazingira ya kazi
 
Kabisa
Very good, ni utaratibu wa kawaida wa kila siku.
 
Hebu warudishe kazini hawa askari wawili. Acha uonevu na kujikomba kwa watu, ni unafiki tu unaofanya hapo. Si ajabu hata wewe mwenyewe Muliro unaletewa magao wako, usitudanganye hapa.
Kabisa, waache usanii
 
Hamn pesa inayotosha, kam mishahara yao midogo basi walimu Tz wangekufa hawan posho wa nn 30 days
 
Ata mheshmiwa sana mwendazake alisema hiyo pesa ni pesa ya kiwi wachukue tu
 
Ni basi tu atujuani humu.

Yaani wewe akili yako inatakiwa ipigwe window kabisa.

Umekaa kabisa umeanzisha uzi wa kutetea rushwa?

Hii ndiyo Tanzania!
Sidhani kama katetea rushwa lakini amekupa picha nzuri ya kitu ambacho askari wa usalama barabarani hufanya.

Polisi kupeleka hesabu kwa wakubwa wao hilo lipo tu tena ni lazima.Anachokataa hapa ni unafiki.Sema bora ile pesa wanachukua(polisi wakitaka wafanye mambo yao kwa usawa(kufuata sheria) watu magari watayapaki niamini)
 
Ni basi tu atujuani humu.

Yaani wewe akili yako inatakiwa ipigwe window kabisa.

Umekaa kabisa umeanzisha uzi wa kutetea rushwa?

Hii ndiyo Tanzania!
Wanajulikana hawa na hata bei zao wamezivaa kwenye pindo za shingo za shati zao, hawajifichi.
 
Una uhakika wamesimamishwa? Ametaja majina yao? Ametaja namba zao?. Ni maigizo kama maigizo mengine tu
 
Kuna ushahidi wa kimazingira sio lazima pesa ionekane
Huo ushahidi wa kimazingira, ukiambia ueleze kinachoendelea pale, utasema nini?? Na kiwe cha ukweli sio kuhisi..?? Hisia zako haziwezi mtia mtu hatiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…