Tetesi: Kamanda Mwanamke Kuteuliwa Kanda Maalumu Dar Es Salaam, Mangu Kuwa Balozi

alvinroley

Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
71
Reaction score
251
Habari zisizo rasmi (Tetesi) ambazo zina chembechembe nyingi za kuaminiwa kutoka kwa watu walio karibu na Mamlaka za uteuzi, zinadai:

1. Kamanda Mwanamke huenda akateuliwa kuwa Kamishna wa Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam kurithi nafasi ya Simon Sirro

2. Ernest Mangu kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania Nje ya Nchi
 
Kama ni Yule mwenye ndevu siyo mwanamke
 
Habari zisizo rasmi (Tetesi) ambazo zina chembechembe nyingi za kuaminiwa kutoka kwa watu walio karibu na Mamlaka za uteuzi, zinadai:

1. Kamanda Mwanamke huenda akateuliwa kuwa Kamishna wa Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam kurithi nafasi ya Simon Sirro

2. Ernest Mangu kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania Nje ya Nchi
Charles Mkumbo ndio atakuwa kamanda hapo..
 
Acha uchakubimbi we Nani kakuambia?
 
Kuna kamanda mmoja wakati wa uteuzi wa Mangu walikua ndio possible candidate naasikia atakuja mjini. Ila hatoki kanda ileeee
 
Hii nchi walimu wanaofundisha Civics wanakazi ngumu sana, unaweza kufundisha asubuhi majina ya viongozi mfano mkuu wa mkoa au waziri, kabla hujamaliza kipindi yule uliyemtaja sio tena waziri au mkuu wa mkoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama hoja ni jinsia, namkubali sana kamanda wa mkoa wa Singida. Mwanadada aitwaye Magiligimba.
 
Mama kaganda atapewa maana wote wawili na kamanda sirro walidhalilishwa na bashite, hayo ndiyo yatakuwa malipo yao kwa kuwa wavumilivu
 
kuna watu humu watakuuliza source ya habari yako na wakati ni tetesi tu
 
Ahmed Msangi, Suzana Kaganda hata Samwel Mkumbo wote wana nguvu sawa! Yoyote anaweza. Ila huyu Mangu aachwe akae tu, akipelekwa huko nje hakuna atakachokifanya ni mpole mno!
 
Habari zisizo rasmi (Tetesi) ambazo zina chembechembe nyingi za kuaminiwa kutoka kwa watu walio karibu na Mamlaka za uteuzi, zinadai:

1. Kamanda Mwanamke huenda akateuliwa kuwa Kamishna wa Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam kurithi nafasi ya Simon Sirro

2. Ernest Mangu kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania Nje ya Nchi

Akiteuliwa tu Mwanamke nakuhakikishia Dar es Salaam tutakuwa tunavamiwa hata Saa 5 asubuhi na huko Mwananyamala, Temeke na Amana watatuchoka kwa Majeraha yetu yaliyotukuka ya kuchomwa bisibisi, visu na kukatwa mapanga na Wahalifu. Hata hivyo Biashara ya Wauza Majeneza itakuwa inalipa mno kwa Mkoa wa Dar es Salaam kwani nina uhakika kila Siku tutakaokuwa tunachinjwa na Israeli wa maumivu ( Jambazi ) hadi Kufa hatutokuwa tunapungua kati ya Watu 75 mpaka 100.
 
Back
Top Bottom