Tetesi: Kamanda Mwanamke Kuteuliwa Kanda Maalumu Dar Es Salaam, Mangu Kuwa Balozi

Tetesi: Kamanda Mwanamke Kuteuliwa Kanda Maalumu Dar Es Salaam, Mangu Kuwa Balozi

Habari zisizo rasmi (Tetesi) ambazo zina chembechembe nyingi za kuaminiwa kutoka kwa watu walio karibu na Mamlaka za uteuzi, zinadai:

1. Kamanda Mwanamke huenda akateuliwa kuwa Kamishna wa Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam kurithi nafasi ya Simon Sirro

2. Ernest Mangu kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania Nje ya Nchi

I wish i could be dar es salaam special zone police commander
 
Hii nchi walimu wanaofundisha Civics wanakazi ngumu sana, unaweza kufundisha asubuhi majina ya viongozi mfano mkuu wa mkoa au waziri, kabla hujamaliza kipindi yule uliyemtaja sio tena waziri au mkuu wa mkoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Au unatunga mtihani na kuandaa marking scheme, wakati wa kusahihisha ikakupasa ubadili Marking scheme.
 
Back
Top Bottom