alvinroley
Member
- Sep 30, 2016
- 71
- 251
Kama ni Yule mwenye ndevu siyo mwanamkeHabari zisizo rasmi (Tetesi) ambazo zina chembechembe nyingi za kuaminiwa kutoka kwa watu walio karibu na Mamlaka za uteuzi, zinadai:
1. Kamanda Mwanamke huenda akateuliwa kuwa Kamishna wa Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam kurithi nafasi ya Simon Sirro
2. Ernest Mangu kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania Nje ya Nchi
Charles Mkumbo ndio atakuwa kamanda hapo..Habari zisizo rasmi (Tetesi) ambazo zina chembechembe nyingi za kuaminiwa kutoka kwa watu walio karibu na Mamlaka za uteuzi, zinadai:
1. Kamanda Mwanamke huenda akateuliwa kuwa Kamishna wa Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam kurithi nafasi ya Simon Sirro
2. Ernest Mangu kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania Nje ya Nchi
Habari zisizo rasmi (Tetesi) ambazo zina chembechembe nyingi za kuaminiwa kutoka kwa watu walio karibu na Mamlaka za uteuzi, zinadai:
1. Kamanda Mwanamke huenda akateuliwa kuwa Kamishna wa Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam kurithi nafasi ya Simon Sirro
2. Ernest Mangu kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania Nje ya Nchi
[emoji23] [emoji23]Kama ni Yule mwenye ndevu siyo mwanamke
Na mkubal sana huyu kamanda mkuuAhmed Msangi rpc wa Mwanza naona kama anafit pia Jiji la Dsm.
Ila simpangii JPM.