Kamanda Ng'anzi: Kuweka Plate number yenye 3D sio kosa

Kamanda Ng'anzi: Kuweka Plate number yenye 3D sio kosa

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Ramadhani Ng’anzi ameieleza Clouds FMkuwa sio kosa kwa mtu kutumia Plate Number zenye mfumo wa 3D ila tu kinachokatazwa ni mtu kujitengenezea namba hizo yeye mwenyewe mtaani ikiwa tenda hizo zimetolewa kwa watu maalum.

Chanzo: Clouds Media

Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Ramadhani Ng’anzi ameieleza #XXLyaCloudsFM kuwa sio kosa kwa mtu kutumia Plate Number zenye mfumo wa 3D ila tu kinachokatazwa ni mtu kujitengenezea namba hizo yeye mwenyewe mtaani ikiwa tenda hizo zimetolewa kwa watu maalum.
Chanzo: Clouds Media

'tenda maalum', ni akina nani hao?
 
Hao wakina masasi na wengineo walichelewa kuja na hiyo idea ya 3D
Watu mtaani wakafyatua

Ova
kina masasi wajipange aisee, wamekosa ubunifu ndio wakapigwa bao na hao jamaa wa mitaani wasio na tbs
 
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Ramadhani Ng’anzi ameieleza Clouds FMkuwa sio kosa kwa mtu kutumia Plate Number zenye mfumo wa 3D ila tu kinachokatazwa ni mtu kujitengenezea namba hizo yeye mwenyewe mtaani ikiwa tenda hizo zimetolewa kwa watu maalum.

Chanzo: Clouds Media

Kwa maelezo hayo ni kwamba hizo plate number hazitakiwi. Hao waliopewa tenda hawatengenezi hizo 3D
 
Back
Top Bottom