'tenda maalum', ni akina nani hao?Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Ramadhani Ng’anzi ameieleza #XXLyaCloudsFM kuwa sio kosa kwa mtu kutumia Plate Number zenye mfumo wa 3D ila tu kinachokatazwa ni mtu kujitengenezea namba hizo yeye mwenyewe mtaani ikiwa tenda hizo zimetolewa kwa watu maalum.
Chanzo: Clouds Media
hawa hapa'tenda maalum', ni akina nani hao?
kina masasi wajipange aisee, wamekosa ubunifu ndio wakapigwa bao na hao jamaa wa mitaani wasio na tbsHao wakina masasi na wengineo walichelewa kuja na hiyo idea ya 3D
Watu mtaani wakafyatua
Ova
Kwa maelezo hayo ni kwamba hizo plate number hazitakiwi. Hao waliopewa tenda hawatengenezi hizo 3DKamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Ramadhani Ng’anzi ameieleza Clouds FMkuwa sio kosa kwa mtu kutumia Plate Number zenye mfumo wa 3D ila tu kinachokatazwa ni mtu kujitengenezea namba hizo yeye mwenyewe mtaani ikiwa tenda hizo zimetolewa kwa watu maalum.
Chanzo: Clouds Media