Kamanda Sirro na broken english


Mzee umepotea mno pole
 
Mkuu ebu mrekebishe kwa kimombo, Lugha mtu akikosea kuna tatizo gani mbona wazungu hawajui Kiswahili na wanapojifunza hukosea sana
 
Mara nyingi nimemsikia akiyaporomosha ma-broken yake, ndio maana nikauliza hapa siku moja kama huyu jamaa ni graduate kweli
 
Lakini si umeelewa?? Tusipende kukuza mambo!!!
 
English is just a media of communication and not a media of level of intelligent.....mimi namlaumu kwa nini asiongee Kiswahili tu yakaisha?
 

Watu wengi sana wangekosea hilo neno, hata mimi! kwa hiyo peleka majungu
 
Ningefurahi sana kama ungemkosoa kwa kukosea kiswahili. lakini kwa lugha ambayo kafundishwa darasani sidhani kama ni sawa. japo hata hicho kiswahili si wote wanakifahamu vizuri.
 
umemuweza
 
Haha, ukimsikia "Mamlaka yake ya Uteuzi" ndo utaacha na kula kabisa...anakwambia Kolapsheni is ze disease
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…