Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
Nimemsikia kamanda siro akiongelea swala LA police kufyatua risasi dhidi ya ukaidi Wa malima.
Jamani kama hatujui kingereza bora tukae kimya. Ametamka neno "cowardnes" hakuna hill neno alipaswa aseme "cowardice" kama abstract noun na siyo cowardness . watanzania tusome kingereza