Mkoloni akiwa msaidizi wa Sugu,aliwahi kupata madhira ya kulishwa chakula chenye sumu,aliacha shughuli zake za mziki na akawa Karibu w Sugu kwenye uchaguzi mgumu sana ambapo CCM ilipelekea rundo la wasanii Mbeya kumsaidia mgombea wa CCM,ila Sugu akashinda na akaongoza kwa wabunge wote kupata kura 32,000+
Kumuandikia hivi Mkoloni ni kumvunjia heshima!!