and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Sugu ana elimu gan? Au Ngombaru mwenzetu?Mkoloni akiwa msaidizi wa Sugu,aliwahi kupata madhira ya kulishwa chakula chenye sumu,aliacha shughuli zake za mziki na akawa Karibu w Sugu kwenye uchaguzi mgumu sana ambapo CCM ilipelekea rundo la wasanii Mbeya kumsaidia mgombea wa CCM,ila Sugu akashinda na akaongoza kwa wabunge wote kupata kura 32,000+
Kumuandikia hivi Mkoloni ni kumvunjia heshima!!