King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
MaranguAlikuwa wa wapi huyu?
Itakuwa alikuwa anaujua ugonjwa wa jamaa na kuona Hadi jamaa kapost anaumwa "I Am Sick" basi itakuwa kakaribia kuondoka.Sawa huyo Elizabeth lyamuya ameshakamatwa? Haya mambo ya kusema alitabiriwa kifo ni ujinga, ingepaswa akamatwe na kuhojiwa sababu za kifo cha marehemu, God bless Lema alisota gerezani kwa kosa kama hilo.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Chadema watakwambia Mungu fundi
Wote unawafahamu tangu wamezaliwa?Weye ni mjinga au mwehu?Hivi Chadema kuita mtu kamanda wakati hata mgambo hajawahi kanyaga ni ujinga au wehu?
BwegeChadema watakwambia Mungu fundi
Weka ka FOTO basi tumfahamu
RIP Lekule
Japo katibu hakutabiriwa kifo ila mchungaji alipaswa ajibu tuhuma.Sawa huyo Elizabeth lyamuya ameshakamatwa? Haya mambo ya kusema alitabiriwa kifo ni ujinga, ingepaswa akamatwe na kuhojiwa sababu za kifo cha marehemu, God bless Lema alisota gerezani kwa kosa kama hilo.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Upumbavu katika ubora wake, na ni bora kuitwa kamanda kuliko professor wa majalalaniHivi Chadema kuita mtu kamanda wakati hata mgambo hajawahi kanyaga ni ujinga au wehu?
Rip ingekuwa ni mwana CCM ungesikia bora afeChadema watakwambia Mungu fundi
Marehemu alikuwa scoutHivi Chadema kuita mtu kamanda wakati hata mgambo hajawahi kanyaga ni ujinga au wehu?