Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
hawa waswahili hawa wakikwmbia unakufa na ww wajb n ww unakufaHabari wana JF,
Chadema imepata pigo kwa kumpoteza kamanda Calvin Lekule ambaye alikuwa mpambanaji sana, Lekule alikuwa mwanaharakati kama alivyo mdude, alikuwa anapinga sana police brutality na uonevu wa aina yeyote kwa vitendo na bila kuogopa.
Wiki moja iliyopita alitabiriwa kifo na mmoja wa rafiki yake na kweli amefariki...Poleni wana chadema, ndugu, jamaa na marafiki.
View attachment 2392444