Kamanda wa Bavicha Calvin Lekule afariki dunia -Alitabiriwa kifo wiki moja nyuma

hawa waswahili hawa wakikwmbia unakufa na ww wajb n ww unakufa
 
Mtu akikutabiria kifo afu Bado ukafa ndani ya mda anatakiwa atafutwe huyo anajua sababu ya kifo chako, vinywa vingine ni ushetani kabisa
 
Acheni uongo chadema hawafi yanakufa maccm tuu.
Kwa nini kafa akiwa na umri mdogo maana tuliaminishwa CCM wanaokufa na umri bado haujaenda sana ni madikteta na watenda dhambi! Washenzi sana hawa CHADEMA!
Jifunzeni unyenyekevu dunia sio ya kwenu tu! Wala si kwamba nyinyi watenda mema na wengine wote waovu!
Poleni wafiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…