Kamanda wa CHADEMA akinukisha Gold FM, Kahama

Jina la kamanda?

Katika kusikiliza nilisikia jina "Mustapha" likitajwa tajwa kwenye hiyo interview wakijaribu kum interrupt hapa na pale.

Yawezekana ni mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Kahama.

"Kumbe Makonda alipozuru huko barabara mashimo yalibwa kwa udongo." Alitamka Kamanda.

Huyu mwamba ni hazina kwa Chadema.
 
ni makelele tu yamezoeleka na hayabadili chochote, mambo yote nchini yataendelea kufanyika kwa utaratibu na sheria za nchi....
 
Nilihisi MAGEMA USHETU๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ