Kamanda wa Hezboullah Mohamed Adnan Mansour aangamizwa yeye na mpambe wake. Kafa kifo cha kutisha sana!!

Kamanda wa Hezboullah Mohamed Adnan Mansour aangamizwa yeye na mpambe wake. Kafa kifo cha kutisha sana!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Mapema leo (Jumatatu), IDF ilimpiga na kumwangamiza gaidi Mohammed Adnan Mansour, kamanda wa mizinga wa Hezbollah katika eneo la Taybeh kusini mwa Lebanon.

Wakati wote wa vita, Mohammed alielekeza na kufanya mashambulizi mengi ya makombora na ndege zisizo na rubani kuelekea eneo la Upper Galilee na kuwasababishia raia kuwa na wasi wasi na maisha yao.

Leo hii wakati akisafiri IDF ilimfatilia na kuipiga gari yake na ikawaka moto juhudi za kumuokoa ziligonga mwamba kutokana na moto mkubwa uliozuka walimtoa kwenye hilo gari akiwa amechomeka vizuri sana. Adhabu ya moto kaianzia hapa hapa duniani na huko Kuzimu moto wa milele unamsubiri.

Kijana mmatumbi ,unatumia nguvu nyingi kuwaongelea watu waliokuzidi kila kitu
Pamoja na kwamba hata mimi nimeanza kua bored na story za middle east lakini kusema Palestinians wametuzidi, hili sidhani. Wametuzidi nini watu ambao hawana hata makazi?
 
Pamoja na kwamba hata mimi nimeanza kua bored na story za middle east lakini kusema Palestinians wametuzidi, hili sidhani. Wametuzidi nini watu ambao hawana hata makazi?
Wamatumbi tuna makazi yapi mkuu?
 
Wamatumbi tuna makazi yapi mkuu?
Hapana kaka, tunaweza kuzidiwa na wengine lakini sio Palestinians. Sisi ukibahatika kujenga popote nchini, walau una uhakika wa over 75% kwamba hapo ni kwako, wale wana uhakika gani wakati muda wowote majirani zao wanaweza kukichafua na nyumba yako ikapigwa mabomu? Wale hawatuwezi sie
 
Jidanganye
 
Back
Top Bottom