YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kanali mtu mdogo sana vitaniWewe mjinga kweli ukiuwa kamanda utapataje information......
nilidhani una akili kumbe mtupu
Urusi kujisifia wamepata kanali wamejaa ujinga vichwani kumpelekea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanali mtu mdogo sana vitaniWewe mjinga kweli ukiuwa kamanda utapataje information......
nilidhani una akili kumbe mtupu
unazan uvamiz wao umeharibu mangap ya wa ukraine ? , Putin hii vita kaianzisha wazungu huwa hawasahau ipo siku Warusi watalipa kwa alichofanya PutinLakini nadhani mbinu ya kumega kidogo kidogo huku Russia ikonyesha nia thabiti ya kunusuru raia wa Ukraine itasaidia kufanikisha ushindi.
vita hii ndo imeanza ipo siku waukraine wataifanya hv hv Urusi , Wazungu huwa hawasahau , kaharibu mipango mingi ya waukraine , miradi mingi ya waukraine , ajira nyingi za waukraine , kadhohofisha afya na maradhi ya waukraine , na uzur aliaswa aache uvamiz , nmepitia historia ya Yugoslavia , Serbia alipambana ila alichoka leo hii Serbia ni nchi maskinini tu kisa kutumia mabavu kwenye kila kituHawa watasaidia kujenga madaraja, shule na miundombinu mengine baada ya vita, safi sana Urusi
Hakuna kitu kama hicho aliyekutangulia kakutanguliavita hii ndo imeanza ipo siku waukraine wataifanya hv hv Urusi , Wazungu huwa hawasahau , kaharibu mipango mingi ya waukraine , miradi mingi ya waukraine , ajira nyingi za waukraine , kadhohofisha afya na maradhi ya waukraine , na uzur aliaswa aache uvamiz , nmepitia historia ya Yugoslavia , Serbia alipambana ila alichoka leo hii Serbia ni nchi maskinini tu kisa kutumia mabavu kwenye kila kitu
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Ukraine wako vizuri wao wanaua magenerali wa Russia .Russia anakamata makanali wa Ukraine!!
Nani zaidi hapo. Kivita? .Wasomaji Jamii forums amueni wenyewe
... Umekuwa muungwana sana kiongozi. Pamoja na hayo kwa hakika hamtashinda. Ni habari mbaya sana kwenu ila ndio ukweli ambao siku zote ni mchungu.
Kwa wanaokufahamu hapa JF, toka miaka ya 2012 na 2013 ulikuwa unashusha saana nondo za russia humu ndani, na sote tulkuwa tunakuaminia ktk nyanja hii. Sasa leo mpaka unakiri hii ngoma ni ngumu, basi inajionesha ngumu kweli, sio hawa vijana wadogo wanotoa povu humu ndani.Ila warusi tuna mtihani mgumu sana maana tunapigana na west yote,, tutashinda kwa mbinde mno
once a upon a time Japan colonized ChinaHakuna kitu kama hicho aliyekutangulia kakutangulia