PreGE2025 Kamanda wa Polisi Dodoma: Wanavyuo msijiingize kwenye kuvuruga amani wakati wa Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, George Katabazi, amewataka wanafunzi wa vyuo vikuu na vya kati kuepuka kushiriki katika vurugu kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu, ili kulinda amani na utulivu wa nchi.

"Sasa hivi ni kipindi kabla ya Uchaguzi, wakati ya Uchaguzi na baada ya Uchaguzi tusijiingize tukawa sehemu ya vurugu na sehemu ya kuvuruga amani katika mkoa wetu au kwenye vyuo"

Wanachuo wenyewee wanasemaje katk madai hayo Kwan kwamandaa🤔
 
Wakuu,

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, George Katabazi, amewataka wanafunzi wa vyuo vikuu na vya kati kuepuka kushiriki katika vurugu kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu, ili kulinda amani na utulivu wa nchi.

"Sasa hivi ni kipindi kabla ya Uchaguzi, wakati ya Uchaguzi na baada ya Uchaguzi tusijiingize tukawa sehemu ya vurugu na sehemu ya kuvuruga amani katika mkoa wetu au kwenye vyuo"

wavurugaji wa Amani Tanzania ni POLICCM
 
Back
Top Bottom