Tetesi: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala aliyezuia mkutano wa Lipumba "kushughulikiwa"

Hawa ndiyo Ma Prof,wa Bongo..

Badala kujikita kwenye tafiti mbali mbali Na kutoa mihadhara yeye anakomaa na mkutano wa kumvua Maalim nafasi yake.
 
Wanajipa dhiki tu hao chama ni watu, 2020 maalim Seif tutamsimika tena kuwa mgombea wa uraisi wa zanzibar ndani ya CUF au nje ya CUF. Kiufupi ni bora wangejiandaa ni vipi wanaenda kufuta uchaguzi wa 2020 Zanzibar, maana hatutawaacha salama ndani ya CUF au nje ya CUF
 
acha kulialia maalim seif hajakatazwa kuhudhulia kwenye mkutano na kila siku anaitwa na mwenye kiti wake haende kiburi sasa hata wakimvua wewe huoni kuwani sawa.mbona mnapenda kuishi ne ya uhalisiawakati unaonekana live live
 
Wewe mama!,kulikoni unaa wa namna hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…