Tetesi: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala aliyezuia mkutano wa Lipumba "kushughulikiwa"

Tetesi: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala aliyezuia mkutano wa Lipumba "kushughulikiwa"

Tena niwaambie hapa. Waliontuma Lipumba Kuna kitu kinawatisha kuhusu maalim Seif. Huu mradi wa Lipumba unapitwa na muda na ndio maana hawaana aibu kuharibu bahati Yao hata kama mahkama imezuiya ili lengo la kunvua maalim Seif kwa njia yoyote ile ifanikiwe hata Kama ni haramu. Athari kwa nchi hapa haitazamwi kinachotazamwa ni maslahi. Huu mwiba wa maakin Seif Ni mkali kuliko sindano. Iwe isiwe inatakiwa maalim avuliwe ukatibu.
kwan mala ngapi # lipumb*u anatangaza kumvua maalim? mbona mala kibao ila huishia matamko tuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utawala huu wa wasukuma wawili Yaani ndugu zake msukuma mnyamwezi Lipumba kwa kupenda ukabila lazima huyo RPC atapata Taabu sana labda Maliyamungu Bashite apitie humu JF akisoma maoni ya wachangiajia ataweza kuona Aibu na kumkataza mtukufu malaika waache kumuonea.
 
Inchi ya viwanda

Sent using Jamii Forums mobile app

Viwanda vipo mfukoni mwa Bashite Maliyamungu na mtukufu malaika toka chato kwani pesa zote za maendeleo wanazitumia kukandamiza kudidimiza Demokrasia kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi Wapinzani ikiwemo kuwalipa mabilioni akina Le mutuz na cyprian Musiba kutengeneza propanganda za kijinga jinga.
 
Seif Hamad kwanini haachii madaraka akawapisha wengine? Hivi vyama vimekuwa vya kisultani jamani? Huku Maalim Saif kule Freeman Mbowe
 
sisi watoa taarifa tu mkuu , usikeshe kwa waganga kuniroga bure ! mhusika ni Lipumba

Lipumba na sakaya wenyewe wanamiliki utitiri wa waganga wa kienyeji kama ule umati wa waganga wa Maliyamungu Bashite anaoletewa na Le mutuz, huko CCM na cuf ya Lipumba kuna ushirikina wa kutisha sana.
 
Seif Hamad kwanini haachii madaraka akawapisha wengine? Hivi vyama vimekuwa vya kisultani jamani? Huku Maalim Saif kule Freeman Mbowe

Kwani Lipumba yeye asiwapishe kwanza? Mbona alikimbia kipindi cha kampeni kilichomrejesha ni nini? Anza na Lipumba kwanza na akina mzee mangula na msajili wa vyama huko CCM kabla haujaleta fitna zako za kutumwa na Bashite Maliyamungu.
 
Huu ni utawala wa hovyo kuwahi kutokea.

Utawala huu hawafuati sheria na katiba bali wanaongoza kwa mujibu wa zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM na mshauri wake mkuu Bashite Maliyamungu toka kolomije.
 
Back
Top Bottom