DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Salim Morcase Septemba 11, 2025 katika kipindi cha Maskani ya Chalinze, Kupitia 97.5 Chalinze FM amewakumbusha wananchi wa Mkoa wa Pwani wajibu wao katika kulinda amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mheshimiwa Rais, Wabunge na Madiwani.
Aidha, Kamanda Morcase amewakumbusha wananchi kuripoti viashiria vyote vya uvunjifu wa amani vinavyoweza kujitokeza kwenye maeneo yao ili Jeshi la Polisi liweze kuchukua hatua kabla madhara hayajajiyokeza.
Chanzo: Chalinze Fm