TANZIA Kamanda wa polisi wa zamani Kilimanjaro, Dr. Mohammed Chico afariki dunia

Poleni sana.
 
Pole sana Awadhi Chico Mtoto wa Marehemu.
 
RIP...Polen sana ila ungefafanua zaidi mkuu kamanda Chico alikuwa nani sio wote tunamfaham..
Aliwahi kuwa RPC mkoa wa Kilimanjaro kwa muda mrefu, alikuwa swaiba IJP Mstaafu NGUNGURI, akiwahi kuwa OCD Tabora, OC-CID Mwanza, nk alikuwa akimiliki kampuni moja ya mabasi,nk
 

Mungu ampumzishe kwa Amani, nilikutana naye miaka mingi nyuma akiwa RPC Ruvuma. Mungu aifariji familia yake wakati huu wa majonzi na mshtuko.
 
Huyo kamanda atakumbukwa kwa lipi hasa?

Poleni wafiwa wote.
Huyu atakumbukwa Kwa ujambazi kuongezeka wakati wake ktk kanda ile ya kaskazini, na inasemekana alipofika Arusha na Kilimanjaro alikuwa hana kitu lakini mpaka anahamishwa alikuwa mtu tajiri. Aliwahi kuwa mbeya pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…