Mickih Tutu
Member
- Mar 8, 2014
- 26
- 6
R.I.P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
polisi Mungu awasaidie sana, kabla ya kufa wamrudie Muumba. wana dhambi nyingi sana, kazi yao ni ya uonezi sana na unyamaunyama tu. nimefanya nao kazi mara nyingi, roho zao wote ni sawa labda kwasababu wanasoma chuo kimoja kule moshi. pia ni wasaliti usije kuwaamini, wanakuruka hatua mia nane. arest anapostahili kwa mapenzi ya Mungu. kama ni pema sawa, kama ni pabaya ndo hivyo tena.Imetokea asubuhi hii, Mazishi yatafanyika leo saa kumi jion katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam.
========
Kamanda wa polisi wa zamani mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Mohamed Chico amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salam.
Kwa mujibu wa msemaji wa familia Bw. Awadhi Chico, mazishi yake yamepangwa kufanyika leo Jumapili 22/01/2017 jioni katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam.
Msiba upo nyumbani kwa marehemu Kijitonyama.
RIP kamanda Mohammed Chico, Inna lillaah wainnaa ilayhi raajiuun
Wezi wa Magari wa Arusha na Moshi ni kitu kimoja. Actually akina chonjo ni wachagga.Hivi Chonjo hiakua kwa Arusha tu? Kuna wale kina Lekule pia
Wala mirungi. Time inapita very fast. Akina savimbi wanajua?Huyo kamanda atakumbukwa kwa lipi hasa?
Poleni wafiwa wote.
Wachagga wa wapi hao Chonjoz? Enzi hizo huku maisha yalikua slippery sanaWezi wa Magari wa Arusha na Moshi ni kitu kimoja. Actually akina chonjo ni wachagga.
Sins of a father real or imagined shall not be visited on the child.Nilisoma na mwanae. She was humble and commanded great respect.
Death is a certain fact. Sasa sijui hapo umeongea niniTufanye kazi kwa weledi sana jamani , maana kifo hakijui wewe ni nani .
MoshiWachagga wa wapi hao Chonjoz? Enzi hizo huku maisha yalikua slippery sana
Namaanisha kwamba unoko wa duniani mbele ya kifo hautambi na wala si lolote .Death is a certain fact. Sasa sijui hapo umeongea nini
Kina Njiwa watamkumbuka sanaWapinzani?! Huyu Alikuwa rafiki WA wezi WA magari sambeke babu na kina mangeu....
Bila kusahau Alex massawe
Chiko alikuwa rafiki yake Mahita na alikuwa ana hisa kwenye mabasi ya Buffalo ,professional alikuwa ni baharia.Namkumbuka alikuwa mgeni rasmi kwenye graduation Old Moshi Secondary
Umekariri kiarabu wakati Kiingereza kinakupiga chenga. Shughulisha ubongo wakoInna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
....ulisalimika?,Amepumzika na wake na waume
[emoji23] [emoji23] we Jamaa mkalihahaaaa umenikumbusha mbali sana akiwa same alikuwa anapenda kwenda kwenye duka lala mama mmoja pale station chini ya lile bomba la railway....inasemekana alikuwa anapumzika.
Ni yule Njiwa Hardware ?(Kavishe) Hivi yupo hai huyu kweli ?Kina Njiwa watamkumbuka sana
Duka la mama Abdallahahaaaa umenikumbusha mbali sana akiwa same alikuwa anapenda kwenda kwenye duka lala mama mmoja pale station chini ya lile bomba la railway....inasemekana alikuwa anapumzika.
HahahaNATOA POLE.Habari kama hii iletwe imekamilika.Kilimanjaro imekuwa na makamanda wengi hadi sasa kwa nyakati tofauti.Chiko alikuwa wa mwaka gani?