TANZIA Kamanda wa polisi wa zamani Kilimanjaro, Dr. Mohammed Chico afariki dunia

TANZIA Kamanda wa polisi wa zamani Kilimanjaro, Dr. Mohammed Chico afariki dunia

Nadhan kamanda chico ndiye aliyecheza dili na Alex Massawe , nakumbuka wakati huo Alex Anakabiliwa na jeshi la polisi aliombavkwenda nyumbani
Kwake hapo Mailista weruweru na akiwa chini ya ulinzi mkali wa Polisi aliingia ndani kwake kuomba kukutana na mke wake.
Ghafla Alex Massawe a.k.a Carlos alitoka amevaa baibui na kutokomea
Pembezoni mwa MTO Weruweru huku polisi wakimsubiri Atoke nje
 
Huyu si ndiye alikuwa anamiliki mile kikosi kilichokuwa kinaitwa Chura, alipoingia kamanda tossy akajifutilia mbali.
 
Nilisoma na mwanae. She was humble and commanded great respect.
 
Ni ujinga kufurahia ,ukisikia binadamu mwenzio kafa,hats kama alikutenda sivyo,kifo sio adhabu Bali in wajibu.Na kamanda chiko alifanya mambo mengi mazuri ndani ya Kesho na nje ya Jeshi. Wala hahusiki na mambo ya siasa kama munavyo hubiri.hizo ni hisia .KAPUMUZIKE KWA AMANI KAMANDA CHICO.Na sisi pamoja na wanao kuzodoa tupo nyma yako.na kila MTU ataonja mauti
Kumpenda mtu Kwasababu kafikwa na umauti ni unafiki, kama ni adui akiwa hai kamwe hawezi kuwa rafiki akiwa keshakufa hivyo kila mtu anacomment kulingana na hisia za moyo wake
 
Kama sijakuelewa swali lako?? Kukumbukwa ndo kutamsaidia nini mbele ya Mungu? kama wewe humkumbuki ana familia yake itamkumbuka kwa mengi, tumuombee Mungu ampe makazi mema.
Makazi mema au mabaya aliyaandaa mwenyewe enzi za uhai Wake, kwakuwa hatuna amri ya kumuamrisha mungu kwa kifupi marehemu yoyote anakumbukwa Kwa aliyo yaacha nyuma yake hivyo ukiona ndugu marehemu anasemwa Kwa mabaya ujue ndicho alichoacha
 
R.I.p Mohammed chicco...nilimfahamu akiwa r.p.c Kilimanjaro enzi za mahita. Mengi yalisemwa...ukweli anaujua Mungu!
 
RIP...Polen sana ila ungefafanua zaidi mkuu kamanda Chico alikuwa nani sio wote tunamfaham..
Kaumwa nini mbona hatukusikia ugonjwa wake?Hata hivyo tunawapa pole wafiwa.
Ila polisi nao wapunguze maseke seke,dah,wamezidi jamani.Huku kwetu wamasai ndio shamba lao.
 
RIP...Polen sana ila ungefafanua zaidi mkuu kamanda Chico alikuwa nani sio wote tunamfaham..
Alikwahi kuwa mkuu wa polisi Kilimanjaro na alikuwa almaarufu enzi zile sijui ndio enzi za neema za Mahita aka ngunguri
 
Wengine humu huwa tunasahau kwamba kuna vijana waliozaliwa miaka ya 2000. Mara nyingi huwa tunadhani wote ni wa miaka ya 60, 70 na 80. Kamanda Chico alikuwa ni RPC na mara ya mwisho alikuwa RPC Kilimanjaro kabla hajahamishiwa makao makuu ya polisi na kustaafia Makao Makuu ya Polisi. Alikuwa kamanda maarufu kwa mambo mbalimbali. Sijui kama yote yalikuwa na ukweli ama la.
RIP kamanda Chico.
Pamoja na Mahita walikuwa maarufu sana hawa waheshimiwa
 
Back
Top Bottom