TANZIA Kamanda wa polisi wa zamani Kilimanjaro, Dr. Mohammed Chico afariki dunia

TANZIA Kamanda wa polisi wa zamani Kilimanjaro, Dr. Mohammed Chico afariki dunia

Madili? Mbona mkiambiwa madili yamezibwa mnapiga kelele kumbe mnafahamu kwamba kulikuwa na madili.
Katika majeshi Polisi ndio walikuwa wanaongoza kwa ufisadi kuanzia kwenye ajira,uhamisho,kupangiwa vitengo,kubambikiza kesi,kushirikiana na majambazi na mengine mengi
 
Ana Jozi mbili za Mawani moja juu ya utosi Kama Spear, nyingine kwny Macho

Simu zake alikuwa anabeba body guard anapokea anakuhoji then ndio anampa Bosi wake

Mtu Poa sana mkikutana nae Viwanja huwezi kudhani Kama ni Mtu Mzito

Ndie alikuwa Mkuu wa Police Officers Mess msasani mpaka anastaafu

Watoto wake wapo Vizuri maeneo Mazuri kwny Mfumo Mzuri!

Mfumo mzuri
WA ccm huyu mzee alifanya dili na majambazi wote wa moshi anzia Alex masawe na wezi WA bia kitobo enzi za tusker ccm wezi wapo kila ngazi anzia wenye dhamana km Chico

Alale panapostahili
 
Amewatesa sana wapinzani, anapata hukumu ya haki, ccm haipo naye sasa hivi, yuko peke yake. Hukumu ya haki kwa aliowaonea!
Basi Mungu ampimie kwa kadiri ya kipimo stahili. Hatujui wangapi hawapo kwa uonevu wa Hawa watu kwa ushirikiano na mdudunwa kijani na njano
 
Polen sana wafiwa
Lakini ni kwa nini mabosi wanapojiuzulu au kuachishwa kazi wengi huaga dunia mapema?? Kuna nini hasa?
Mara nyingi ina kuwa hali ya Afya sio nzuri.
Sasa hapo utastafu au kustafishwa ama kuachishwa kazi.
Afya ukiwa sio nzuri mara nyingi uko jirani na Kifo.
 
ha ha ha,No man,naongelea kipindi akiwa OCD ,miaka ya 90 huko,
katika watu sisi madogo tulikuwa tunawahusudu na kuwaona makomando fulani kwa style zao ni huyo kamanda chico,
ole Terere wa usalama wa taifa na jamaa mmoja anaita Suleiman kova kipindi hicho ni OCCID
Ocd
Same Amezaa na Dada zako kwani jamaa alikuwa jembe.
Aiisee wewe ulishi kota za Relini
 
RIP Chicco. Kuna namna alitusaidia kimawazo kama familia tulipopitia magumu. Ilisaidia kupata suluhisho fulani kwa haraka.

Alikua na madhaifu yake ikiwemo kuonea huruma majambazi na kupenda chini.

Nadhani ni kamanda wa mwisho mwisho kuwa 'wanapokelewa' na 'wazee' wa moshi. Dizaini ya kina Sambeke Mawalla Kisinani n.k.
Bila kusahau chonjo familys
 
Back
Top Bottom