TANZIA Kamanda wa polisi wa zamani Kilimanjaro, Dr. Mohammed Chico afariki dunia

TANZIA Kamanda wa polisi wa zamani Kilimanjaro, Dr. Mohammed Chico afariki dunia

Chiko alikuwa rafiki yake Mahita na alikuwa ana hisa kwenye mabasi ya Buffalo ,professional alikuwa ni baharia.Namkumbuka alikuwa mgeni rasmi kwenye graduation Old Moshi Secondary
 
Chiko alikuwa rafiki yake Mahita na alikuwa ana hisa kwenye mabasi ya Buffalo ,professional alikuwa ni baharia.Namkumbuka alikuwa mgeni rasmi kwenye graduation Old Moshi Secondary
Mwaka gani iyo old moshi? Boyfriend wangu alisoma hapo
 
Kamanda msela msela yule,
niko darasa la tano nakutana nae kila siku asubuhi nikienda shule akifanya joging peke yake bila ya bodyguard ,tulikua tunaishi same neighbourhood,alikuwa anawajali sana wamama.
rip

Ana Jozi mbili za Mawani moja juu ya utosi Kama Spear, nyingine kwny Macho

Simu zake alikuwa anabeba body guard anapokea anakuhoji then ndio anampa Bosi wake

Mtu Poa sana mkikutana nae Viwanja huwezi kudhani Kama ni Mtu Mzito

Ndie alikuwa Mkuu wa Police Officers Mess msasani mpaka anastaafu

Watoto wake wapo Vizuri maeneo Mazuri kwny Mfumo Mzuri!
 
Imetokea asubuhi hii, Mazishi yatafanyika leo saa kumi jion katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam.

RIP kamanda Mohammed Chico, Inna lillaah wainnaa ilayhi raajiuun

RIP Ex - RPC Chicco, Kamanda wa Polisi wa Kilimanjaro. Poleni Wafiwa wote.
 
Vitoto vya juzi bwana!Ndiyo ninyi eti munaimba mabadiliko ilhali hata historia ya nchi yenu hamuifahamu vyema!
mm sina shida ya kukufahamu ww au Huyo aliye kufa kwasbabu najua kizazi cha ccm hivyo ndivyo mnazidi kupukutika.
 
R.I.P Chico kuna kipindi alipelekwa makao makuu akawa anasoma tu magazeti sijui alifanya nini
 
Mahita ni IGP aliyetajirika sana kupitia hiyo kazi na hakuwa amesoma,Aliwapa U-RPC marafiki zake wengi na walikuwa wanashirikiana na wafanyabiashara na majambazi.Chico alikuwa mtoto wa mjini ukimuona huwezi kuamini kama ni polisi
 
جحكقوخ صشوبعاع صشمث
 
Haha chiko Alikuwa anakula kabang... Ya jamaa anaitwa jafary WA jj telecom moshi huyu jamaa alimchoma dereva fulani hivi moto na yule dereva alifariki, kisa na sababu za kumchoma wanazozijua wao. kisha jj akafunguliwa mashaka akipanda kizimbani.. ilikuwa warombo siku ya kesi wanakodi madcm wanajaa mahakamani jamaa akahukumiwa kifungo nadhani cha maisha akahamishiwa maweni tanga Baada ya wiki akaonekana uarabuni[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] na hiiya kuonana tanga iliripotiwa na km sikosei mwananchi au nipashe
Aiseeee
 
Back
Top Bottom