TANZIA Kamanda wa polisi wa zamani Kilimanjaro, Dr. Mohammed Chico afariki dunia

TANZIA Kamanda wa polisi wa zamani Kilimanjaro, Dr. Mohammed Chico afariki dunia

Wakati wake mkoa wa Kilimanjaro ulishamiri sana matukio ya ujambazi wa kupindukia mateso kwa wapinzani na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu
Wapinzani walipata shida likuficha maovu yake kwa watawala ili kiuhalisia Lema ni mtoto wa huruma zake kuficha maovu nikimanisha angekuwa kamanda imara uwenda lema tusingekuwa naye. Kiukweli alilinda makundi ya uhalifu makubwa yaliokuwayakitikisa mikoa miwili.
 
Huyo kamanda atakumbukwa kwa lipi hasa?

Poleni wafiwa wote.
Kama sijakuelewa swali lako?? Kukumbukwa ndo kutamsaidia nini mbele ya Mungu? kama wewe humkumbuki ana familia yake itamkumbuka kwa mengi, tumuombee Mungu ampe makazi mema.
 
Rip kamanda
Kifo ni kifo tu nyie mnaoanza kutaja mabaya yake je mnajua mazuri aliyofanya akiwa hai.
Nyie mnajiona malaika?
Acheni izo Mungu ndio muamuzi
 
Una maana ya Babu Sambeke yule aliyeporomoka na kindege chake pale Arusha na kupoteza uhai?
Rafiki mkuu na alikamatwa Alikuwa mchana kituoni usiku Analala nyumbani kwake asubuhi anajirudisha kituon chiko.....
 
Kamanda msela msela yule,
niko darasa la tano nakutana nae kila siku asubuhi nikienda shule akifanya joging peke yake bila ya bodyguard ,tulikua tunaishi same neighbourhood,alikuwa anawajali sana wamama.
rip
Duh!,kama ulikuwa darasa la tano zama za kamanda chico basi nakudai shikamoo zangu nyingi sana.

sikudhani kuwa wewe ni mdogo wangu wa nne kiumri.

dogo elungata.
 
Kumbe wewe ni wale wa 2000!!
ha ha ha,No man,naongelea kipindi akiwa OCD ,miaka ya 90 huko,
katika watu sisi madogo tulikuwa tunawahusudu na kuwaona makomando fulani kwa style zao ni huyo kamanda chico,
ole Terere wa usalama wa taifa na jamaa mmoja anaita Suleiman kova kipindi hicho ni OCCID
 
RIP...Polen sana ila ungefafanua zaidi mkuu kamanda Chico alikuwa nani sio wote tunamfaham..

Aliwahi kuwa RPC wa Mikoa ya Morogoro, Arusha na kilimanjaro kwa miaka tofauti na mara ya mwisho alihamishwa kwenda Makao Makuu Wizara ya Mambo ya Ndani alikaa kipindi cha IGP Omari Idd Mahita
 
A
Wapinzani?! Huyu Alikuwa rafiki WA wezi WA magari sambeke babu na kina mangeu....
litekeleza vyote if that is the cae. mimi nilikuwa naona mabomu ya machozi kwa wapinzania. Magari ni ishu ya ndani kuijua
 
Back
Top Bottom