TANZIA Kamanda wa polisi wa zamani Kilimanjaro, Dr. Mohammed Chico afariki dunia

TANZIA Kamanda wa polisi wa zamani Kilimanjaro, Dr. Mohammed Chico afariki dunia

Ni ujinga kufurahia ,ukisikia binadamu mwenzio kafa,hats kama alikutenda sivyo,kifo sio adhabu Bali in wajibu.Na kamanda chiko alifanya mambo mengi mazuri ndani ya Kesho na nje ya Jeshi. Wala hahusiki na mambo ya siasa kama munavyo hubiri.hizo ni hisia .KAPUMUZIKE KWA AMANI KAMANDA CHICO.Na sisi pamoja na wanao kuzodoa tupo nyma yako.na kila MTU ataonja mauti
 
Kamanda huyo alikuwa kilimanjaro - apumzike kwa amani!!
 
Imetokea asubuhi hii, Mazishi yatafanyika leo saa kumi jion katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam.

RIP kamanda Mohammed Chico, Inna lillaah wainnaa ilayhi raajiuun
Tume kweli kipind chake Ar na Kilimanjaro kulikuwa na ujambazi wakutisha. Hakuwa mtenda haki. Mungu amsamehe
 
Wengine humu huwa tunasahau kwamba kuna vijana waliozaliwa miaka ya 2000. Mara nyingi huwa tunadhani wote ni wa miaka ya 60, 70 na 80. Kamanda Chico alikuwa ni RPC na mara ya mwisho alikuwa RPC Kilimanjaro kabla hajahamishiwa makao makuu ya polisi na kustaafia Makao Makuu ya Polisi. Alikuwa kamanda maarufu kwa mambo mbalimbali. Sijui kama yote yalikuwa na ukweli ama la.
RIP kamanda Chico.
Haha chiko Alikuwa anakula kabang... Ya jamaa anaitwa jafary WA jj telecom moshi huyu jamaa alimchoma dereva fulani hivi moto na yule dereva alifariki, kisa na sababu za kumchoma wanazozijua wao. kisha jj akafunguliwa mashaka akipanda kizimbani.. ilikuwa warombo siku ya kesi wanakodi madcm wanajaa mahakamani jamaa akahukumiwa kifungo nadhani cha maisha akahamishiwa maweni tanga Baada ya wiki akaonekana uarabuni[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] na hiiya kuonekana uarabuni iliripotiwa na km sikosei mwananchi au nipashe gazeti enzi hizoooooooo
 
Back
Top Bottom