Kamanda wa Urusi aliuawa kwenye lile shambulizi la kambi ya Black fleet, Crimea

Kichwa cha jenero kuliwa ni breaking news mjomba. Hiyo fleet imesumbua sana hapo Black Sea. By the way, meli ya Ukraine iliyosheheni ngano imevuka salama jiandae kula maandazi na chapati.
Kamanda yupo hai
 
Kamanda kafa Warusi wanaonyesha video za kitambo za Kamanda alipokua hai ni kama walivyokataa kuhusu kifo cha Prigozhin baadae wakaja kukubali hii ni aibu kubwa kwa Russia makamanda kufa kama wadudu..
 
Kamanda kafa Warusi wanaonyesha video za kitambo za Kamanda alipokua hai ni kama walivyokataa kuhusu kifo cha Prigozhin baadae wakaja kukubali hii ni aibu kubwa kwa Russia makamanda kufa kama wadudu..
Acha uongo weka hapa picha ya jenez au kaburi lake Kawa sababu prigozhin tuliona kila kitu.nyie team NATO hamna akili ndo maana kila habari hata habari fake mnachukua.
 
Sokolov hata jana alikua kikao

Nadhani amefufuka kamuueni tena....
 
Ila Kuwa Shabiki wa NATO kuna Kaujinga Kichwani Lazima Uwenako Yaani Kila Habari Kutoka BBC ,CNN Huwezi Jiongeza Unakurupuka tu
 
Nyie wasapoti nato ndo maana hamna akili mnaleta habari ya uongo.ukiona mtu anasapoti nato ujue hana akili.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Hebu ona Hii Halafu tuone Akili yako!
[emoji116][emoji116]
Beberu mrusi ni mbaya zaidi kuliko beberu Nato!
Ref; Vita yetu na Uganda alimuuzia ndege Vita idi amini akatuuzia Sisi heat seeking missiles!
Tulipo ishiwa hizo silaha tulimwendea kutaka atuuzie mwingine!; akataka Hard cash au tukubali kuingia Naye mikataba mgumu!
Wakati huo ndege alizompa idi amini zikawa zinatamba Mwanza visiwa vya saa name!
Lengo lake ilikuwa ni ku-balance Vita iwe endelevu ili auze silaha Zake!
Kukosa busara ya Nyerere kuomba silaha tulizozihitaji Msumbiji na Algeria na kupewa ile Vita ingekuwa endelevu!
Ref Tena yaliyomkuta Samora Machel [emoji134][emoji24]

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…