Uchaguzi 2020 Kamarada Mrisho Gambo apeleka kilio CHADEMA

Uchaguzi 2020 Kamarada Mrisho Gambo apeleka kilio CHADEMA

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Viongozi wanne wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kata ya Terrat wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Gambo

Viongozi hao ni pamoja na Katibu wa Chama hicho Shedrack Mollel, Mwenyekiti wa BAWACHA na Mweka Hazina pamoja na wanachama wa Chama hicho.

FB_IMG_16001406081743035.jpg
 
Bado mnaona project ya kununua wapinzani inalipa pamoja na majibu mliyopata kutoka kwa watanzania kwa kina lijuakali na katambi?????

Kweli CCM sikio la kufa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Hebu amka usingizini wewe low thinker. Kila mpinzani akihama basi kanunuliwa. Lijualikali na Katambi walishindwa ubunge? Au walikatwa na wajumbe. Sasa wajumbe wachache ndo unaweza ukaita watanzania?
 
Hebu amka usingizini wewe low thinker. Kila mpinzani akihama basi kanunuliwa. Lijualikali na Katambi walishindwa ubunge? Au walikatwa na wajumbe. Sasa wajumbe wachache ndo unaweza ukaita watanzania?
Hivi mtu gani mwenye akili timamu ataamia CCM??? Hao wananunuliwa na hata watoto wadogo wanajua!!!!

Umeongelea wajumbe wa CCM, kwani wao sio watanzania????
 
NABIII TITO AFUNGASHE VIRAGO HARAKA SAANA, NA ARUDI KWAO MOSHI MAPEMA.

ARUSHA IMEPOTEZA HADHI YAKE YA ZAMANI, KISAA MTU MUMOJA TUU.

GAMBO TUNAKUOMBA UFUFUE ARUSHA YA ZAMANI IRUDI HARAKA SAANA, MAANA UBUNGE UMESHASHINDA MAPEMAAA.
 
Hama hama ni ushamba na hauna maana yoyote, Lema ni mshindi Arusha.
labda kama ni mshindi wa kunywa viroba
Lema hana cha kuwaambia,kila akisimama jukwaani anahubiri maandamano na vurugu watu wanamkimbia
 
Hebu amka usingizini wewe low thinker. Kila mpinzani akihama basi kanunuliwa. Lijualikali na Katambi walishindwa ubunge? Au walikatwa na wajumbe. Sasa wajumbe wachache ndo unaweza ukaita watanzania?
Kwa hiyo wajumbe wachache waliompitisha mwenyekiti wenu kama mgombea pekee si Watanzania?
Unajua nini maana ya "uwakilishi"?
Ukiambiwa wewe ni kilaza kiwango cha takataka,utabisha?
 
NABIII TITO AFUNGASHE VIRAGO HARAKA SAANA, NA ARUDI KWAO MOSHI MAPEMA.

ARUSHA IMEPOTEZA HADHI YAKE YA ZAMANI, KISAA MTU MUMOJA TUU.

GAMBO TUNAKUOMBA UFUFUE ARUSHA YA ZAMANI IRUDI HARAKA SAANA, MAANA UBUNGE UMESHASHINDA MAPEMAAA.
Jibu kwanza zile tuhuma zake zilizomfanya atimuliwe Ukuu wa Mkoa. Yaani Vingozi wake Wakuu Kitaifa wamkatae eti Wananchi wamkubali?? Amekwenda na maji na ataendelea kuisoma namba.
 
Rais anajua Gambo ni mmbea,mchonganishi na hawezi kutatua migogoro.
Arusha si saizi yake.
 
Jibu kwanza zile tuhuma zake zilizomfanya atimuliwe Ukuu wa Mkoa. Yaani Vingozi wake Wakuu Kitaifa wamkatae eti Wananchi wamkubali?? Amekwenda na maji na ataendelea kuisoma namba.
Wewe huijui CCM, ndomaana unafikiria ndani ya box tu.Hilo swala liko nje ya upeo wako, hivyo hauwezi kuelewa chochote.
 
Hahaaa..... Misukule ya lumumba bana🤣🤣
 
Back
Top Bottom